kwanini nadia
Lugha ya kiswahili ni kama bahari,kuna nyakati inakua na mawimbi makubwa ,kuna wakati inakua shwari, na pia kuna wakati upepo hubadili uelekeo na kukupa wakati mgumu kuitumia
nadia
ni nahodha mzuri ambaye ni msaidizi wako wa karibu na muongozo mzuri katika kujifunza maneno,kuitumia na kuwasiliana kwa lugha ya Kiswahilinadia
ni mfumo unaokuwezesha kuperuzi maneno mbalimbali ya kiswahili na kukutaarifu kuhusu maana zake,namna ya kuyatumia kwa usahihi